# Header, don't edit NLF v6 # Start editing here # Language ID 1089 # Font and size - dash (-) means default - - # Codepage - dash (-) means ANSI code page - # RTL - anything else than RTL means LTR - # Translation by MK, Kenya Branch # ^Branding Nullsoft Install System %s # ^SetupCaption $(^Name) Usanidi # ^UninstallCaption $(^Name) Sakinusha # ^LicenseSubCaption : Mapatano ya Leseni # ^ComponentsSubCaption : Machaguo ya Kusakinisha # ^DirSubCaption : Folda ya Kusakinisha # ^InstallingSubCaption : Inasakinisha # ^CompletedSubCaption : Imekamilika # ^UnComponentsSubCaption : Machaguo ya Kusakinusha # ^UnDirSubCaption : Folda ya Kusakinusha # ^ConfirmSubCaption : Uthibitisho # ^UninstallingSubCaption : Inasakinusha # ^UnCompletedSubCaption : Imekamilika # ^BackBtn < Inayo&tangulia # ^NextBtn &Ifuatayo > # ^AgreeBtn &Nakubali # ^AcceptBtn &Nakubali matakwa ya Mapatano ya Leseni # ^DontAcceptBtn &Sikubali matakwa ya Mapatano ya Leseni # ^InstallBtn &Sakinisha # ^UninstallBtn &Sakinusha # ^CancelBtn Ghairi # ^CloseBtn &Funga # ^BrowseBtn &Vinjari... # ^ShowDetailsBtn &Onyesha utondoti # ^ClickNext Bofya Ifuatayo ili kuendelea. # ^ClickInstall Bofya Sakinisha ili kuanza usakinishaji. # ^ClickUninstall Bofya Sakinusha ili kuanza usakinushaji. # ^Name Jina # ^Completed Imekamilika # ^LicenseText Tafadhali soma mapatano ya leseni kabla ya kusakinisha (kuweka kwenye kompyuta) $(^NameDA). Ikiwa unakubali matakwa yote ya mapatano, bofya Nakubali. # ^LicenseTextCB Tafadhali soma mapatano ya leseni kabla ya kusakinisha (kuweka kwenye kompyuta) $(^NameDA). Ikiwa unakubali matakwa yote ya mapatano, bofya kisanduku cha alama kilicho hapa chini. $_CLICK # ^LicenseTextRB Tafadhali soma mapatano ya leseni kabla ya kusakinisha (kuweka kwenye kompyuta) $(^NameDA). Ikiwa unakubali matakwa yote ya mapatano, teua chaguo la kwanza hapa chini. $_CLICK # ^UnLicenseText Tafadhali soma mapatano ya leseni kabla ya kusakinusha (kufuta) $(^NameDA). Ikiwa unakubali matakwa yote ya mapatano, bofya Nakubali. # ^UnLicenseTextCB Tafadhali soma mapatano ya leseni kabla ya kusakinusha (kufuta) $(^NameDA). Ikiwa unakubali matakwa yote ya mapatano, bofya kisanduku cha alama kilicho hapa chini. $_CLICK # ^UnLicenseTextRB Tafadhali soma leseni ya mapatano kabla ya kusakinusha (kufuta) $(^NameDA). Ikiwa unakubali matakwa yote ya mapatano, teua chaguo la kwanza hapa chini. $_CLICK # ^Custom Kaida # ^ComponentsText Tia alama vijenzi unavyotaka kusakinisha na utoe alama kando ya vijenzi usivyotaka kusakinisha. $_CLICK # ^ComponentsSubText1 Teua aina ya usakinishaji: # ^ComponentsSubText2_NoInstTypes Teua vijenzi vitakavyosakinishwa: # ^ComponentsSubText2 Au, uteue vijenzi vya hiari unavyotaka kusakinisha: # ^UnComponentsText Tia alama vijenzi unavyotaka kusakinusha na utoe alama kando ya vijenzi usivyotaka kusakinusha. $_CLICK # ^UnComponentsSubText1 Teua aina ya usakinushaji: # ^UnComponentsSubText2_NoInstTypes Teua vijenzi vitakavyosakinushwa: # ^UnComponentsSubText2 Au, uteue vijenzi vya hiari unavyotaka kusakinusha: # ^DirText Usanidi utasakinisha $(^NameDA) katika folda ifuatayo. Ili kusakinisha katika folda tofauti, bofya Vinjari kisha uteue folda nyingine. $_CLICK # ^DirSubText Folda Inayokusudiwa # ^DirBrowseText Teua folda itakayotumika katika usakinishaji $(^NameDA): # ^UnDirText Usanidi utasakinusha $(^NameDA) kutoka katika folda ifuatayo. Ili kusakinusha kutoka katika folda tofauti, bofya Vinjari kisha uteue folda nyingine. $_CLICK # ^UnDirSubText "" # ^UnDirBrowseText Teua folda itakayotumika katika usakinushaji $(^NameDA): # ^SpaceAvailable "Nafasi iliyopo: " # ^SpaceRequired "Nafasi inayohitajika: " # ^UninstallingText $(^NameDA) itasakinushwa kutoka katika folda ifuatayo. $_CLICK # ^UninstallingSubText Usakinushaji kutoka: # ^FileError Hitilafu katika kufungua faili ili kuandika: \r\n\r\n$0\r\n\r\nBofya Katiza ili kusimamisha usakinishaji,\r\nJaribu Upya ili kujaribu upya, au\r\nPuuza ili kuruka faili hii. # ^FileError_NoIgnore Hitilafu katika kufungua faili ili kuandika: \r\n\r\n$0\r\n\r\nBofya Jaribu Tena ili kujaribu tena, au\r\nGhairi ili kusimamisha usakinishaji. # ^CantWrite "Haiwezekani kuandika: " # ^CopyFailed Haikuwezekana Kunakili # ^CopyTo "Nakili katika" # ^Registering "Inaandikisha: " # ^Unregistering "Inatangua Uandikishaji: " # ^SymbolNotFound "Alama haikupatikana: " # ^CouldNotLoad "Haikupakia: " # ^CreateFolder "Unda Folda: " # ^CreateShortcut "Unda Mkato: " # ^CreatedUninstaller "Kisakinushaji Kimeundwa: " # ^Delete "Futa Faili: " # ^DeleteOnReboot "Futa itakapowashwa upya: " # ^ErrorCreatingShortcut "Hitilafu katika kuunda mkato: " # ^ErrorCreating "Hitilafu katika kuunda: " # ^ErrorDecompressing Hitilafu katika kugandamua data! Kisakinishaji kimevurugika? # ^ErrorRegistering Hitilafu katika kuandikisha DLL # ^ExecShell "ExecShell: " # ^Exec "Tekeleza: " # ^Extract "Chopoa: " # ^ErrorWriting "Zidua: hitilafu katika kuandika faili " # ^InvalidOpcode Kisakinishi kimevurugika: msimbo batili # ^NoOLE "Hakuna UPV (OLE) kwa ajili ya: " # ^OutputFolder "Folda ya zao: " # ^RemoveFolder "Ondoa Folda: " # ^RenameOnReboot "Badili jina itakapowashwa upya: " # ^Rename "Badili jina: " # ^Skipped "Imerukwa: " # ^CopyDetails Nakili Utondoti Kwenye Clipboard # ^LogInstall Unda batli ya mchakato wa kusakinisha # ^Byte B # ^Kilo K # ^Mega M # ^Giga G